Naombeni mumsaidie kijana huyu

Naombeni mumsaidie kijana huyu

SHARPVILLE

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
36
Reaction score
12
Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu, akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri.

Anasema ana umri wa karibia 30, hajaoa ila kwa nyakati tofauti amekuwa na mahusiano na wanawake wanne tofauti ananiambia kati ya hao wote hakuwahi kumpenda yeyote mpaka huyu aliye naye sasa hivi ambaye anasema anampenda sana na ananiambia ameprove hilo kila anavyowaza maisha ya baadaye bila yeye. Ananiambia tatizo lake ni kwamba huyu mwanamke hajawahi kumwamini hata kidogo japokuwa, Mara nyingine anamtuhumu kuwa anatembea na Marafiki zake na kibaya zaidi na girlfriend wake wa zamani, na kwa maneno yake hana mawasiliano na girlfriend wake aliyepita na anashangaa kwa nini imekuwa ngumu kuaminikaa.

Kwa maneno yake anasema jambo hilo halijawahi kumpa furaha hata kidogo na mara zote kila akiwaza hilo anapata sana shida, anasema yeye mwenyewe ana tatizo binafsi kwa sababu ya kutokuaminiwa na yeye amepata shida sana kumwamini huyu mwanamke. Jambo lingine ambalo anakiri kuwa nalo ni hasira na anawaomba pamoja na mambo mengine mumsaidie jinsi ya kumoderate hasira zake. Ananiambia licha ya kutokuwa na ajira amejitahidi kwa uwezo wake kutumia kile kidogo na mpenzi wake licha ya ukweli kwamba huyo mpenzi wake ana kipato kikubwa zaidi yake.

Anasema mara ya mwisho wamegombana huku sababu zikiwa hizohizo za kutuhumiwa lakini kikubwa zaidi jamaa amekuta mwanamke ndiye anayewasiliana na boyfriend wake japokuwa hajui walikuwa wanachart kitu gani na baada ya ugomvi huo mwanamke anataka mahusiano yaishe na anasisitiza yupo serious, anasema amejaribu kumpigia simu mara nyingi lakini hapokei, amemwandikia message nyingi lakini ameishia kujibiwa kwa matusi ambayo amegoma kuniambia

Mwisho anaomba nimshauri afanyeje amrudishe kama zamani? Afanyeje ili aaminike? Ananiambia anampenda huyu mwanamke kwa nguvu zake zote na swala la kuachana naye sio option.

WATU WANGU NAOMBA MUMSAIDIE.
 
Mi naoana kama uhusiano ushakufa vile. labda mdada kaona jamaa hana sifa anazotafuta, maana siku hizi masharti na vigezo huzingatiwa.
 
Ningependa kumshauri kuwa aendelee kumbembeleza na kumwomba huyo binti asichukue uamuzi wa kumuacha lakini ukweli ni kwamba uhusiano huo umekufa tayari.
1. Rafiki yako anahisi umri wake kukaribia miaka 30 ni kigezo cha kumlazimisha yeye kuoa haraka
2. Anaonekana kuwa na inferiority complex zaidi sana kwenye masuala ya fedha

Ushauri wangu:
Ni bora aachane na huyo binti achukue muda kujijenga yeye kama yeye..to be the man he wants himself to be. Siku akiifikia hiyo level, ataweza kufanya maamuzi sahihi na hata binti atakayekutana naye then atam-treat in a different way!

I thought this applies to ladies only but I think hata kwa huyu ina-apply:
1. Akikutusi (tena matusi ambayo hata huwezi kumwambia rafiki yako)
2. Akikupiga
3. Akikudharau (kwa maneno au matendo) esp. in public

Never will that relationship be worth it anymore..TAKE MY WORD.

Of course, there are always exceptions to the general rule, and you can be one!!!
 
Well Mentor sasa kuna vitu vingine zaidi kwa hili la kutokuaminiwa na hasira afanyeje?hata kama sio kwa huyu tena,vipi kuhusu huko mbeleni?
 
atulize kichwa na ajali hisia zake na za mwenzi wake, inawezekana mwenzie hana hisia naye so haiwezekeni ku force. pili tabia yake ya kugong gonga ndio imemponza, kwa umri hup tayari amecheat na mijimama mi4 tayari hapo yy sio mwaminifu na haya maisha bila kuaminiana ni kifo... pia huyu mwanamke ameona kabisa kuwa huyu dogo hana kitu anataka kufaidi pesa zake tu ndio mana ameamua kumpiga chini. ajitambue mapema kwa kutafuta kitu kingine. mbona vitu vipoooo
 
Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu,akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri,anasema ana umri wa karibia 30,hajaoa ila kwa nyakati tofauti amekuwa na mahusiano na wanawake wanne tofauti ananiambia kati ya hao wote hakuwahi kumpenda yeyote mpaka huyu aliye naye sasa hivi ambaye anasema anampenda sana na ananiambia ameprove hilo kila anavyowaza maisha ya baadaye bila yeye,ananiambia tatizo lake ni kwamba huyu mwanamke hajawahi kumwamini hata kidogo japokuwa,Mara nyingine anamtuhusumu kuwa anatembea na Marafiki zake na kibaya zaidi na girlfriend wake wa zamani na kwa Maneno yake hana mawasiliano na girlfriend wake aliyepita na anashangaa kwa nini imekuwa ngumu kuaminika kwa maneno yake anasema jambo hilo halijawahi kumpa furaha hata kidogo na mara zote kila akiwaza hilo anapata sana shida,anasema yeye mwenyewe ana tatizo binafsi kwa sababu ya kutokuaminiwa na yeye amepata shida sana kumwamini huyu mwanamke,jambo lingine ambalo anakiri kuwa nalo ni hasira na anawaomba pamoja na mambo mengine mumsaidie jinsi ya kumoderate hasira zake,ananiambia licha ya kutokuwa na ajira amejitahidi kwa uwezo wake kutumia kile kidogo na mpenzi wake licha ya ukweli kwamba huyo mpenzi wake ana kipato kikubwa zaidi ya kwake,anasema mara ya mwisho wamegombana huku sababu zikiwa hizohizo za kutuhumiwa lakini kikubwa zaidi jamaa amekuta mwanamke ndiye anayewasiliana na boyfriend wake japokuwa hajui walikuwa wanachart kitu gani na baada ya ugomvi huo mwanamke anataka mahusiano yaishe na anasisitiza yupo serious,anasema amejaribu kumpigia simu mara nyingi lakini hapokei,amemwandikia message nyingi lakini ameishia kujibiwa kwa matusi ambayo amegoma kuniambia

Mwisho anaomba nimshauri afanyeje amrudishe kama zamani?afanyeje ili aaminike?Ananiambia anampenda huyu mwanamke kwa nguvu zake zote na swala la kuachana naye sio option.

WATU WANGU NAOMBA MUMSAIDIE.

Ukiandika weka vituo, koma na punctuation marks zingine. Inatuwia vigumu kusoma na kueleewa unachotaka asaidiwe.
 
mshauri tu aendelleee na maisha yake hapo amna mapenzi tena .....
 
Ninachoamini huyo mwanamke alimpata wkati amegombana na mtu wake wazamani,kwahiyo baada ya kurudisha mahusiano tena tayari ameshaona kuwa alifanya chaguo ambalo sio sahihi,na ndio maana jamaa kasema kuwa huyo mwanamke anachart na mpenzi wake wa zamani lakini anachokifanya ni kumtuhumu jamaa kwa kosa asilolifanya,ushauri wangu ni bora aachane nae ajipange upya
 
Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu, akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri.

Anasema ana umri wa karibia 30, hajaoa ila kwa nyakati tofauti amekuwa na mahusiano na wanawake wanne tofauti ananiambia kati ya hao wote hakuwahi kumpenda yeyote mpaka huyu aliye naye sasa hivi ambaye anasema anampenda sana na ananiambia ameprove hilo kila anavyowaza maisha ya baadaye bila yeye. Ananiambia tatizo lake ni kwamba huyu mwanamke hajawahi kumwamini hata kidogo japokuwa, Mara nyingine anamtuhumu kuwa anatembea na Marafiki zake na kibaya zaidi na girlfriend wake wa zamani, na kwa maneno yake hana mawasiliano na girlfriend wake aliyepita na anashangaa kwa nini imekuwa ngumu kuaminikaa.

Kwa maneno yake anasema jambo hilo halijawahi kumpa furaha hata kidogo na mara zote kila akiwaza hilo anapata sana shida, anasema yeye mwenyewe ana tatizo binafsi kwa sababu ya kutokuaminiwa na yeye amepata shida sana kumwamini huyu mwanamke. Jambo lingine ambalo anakiri kuwa nalo ni hasira na anawaomba pamoja na mambo mengine mumsaidie jinsi ya kumoderate hasira zake. Ananiambia licha ya kutokuwa na ajira amejitahidi kwa uwezo wake kutumia kile kidogo na mpenzi wake licha ya ukweli kwamba huyo mpenzi wake ana kipato kikubwa zaidi yake.

Anasema mara ya mwisho wamegombana huku sababu zikiwa hizohizo za kutuhumiwa lakini kikubwa zaidi jamaa amekuta mwanamke ndiye anayewasiliana na boyfriend wake japokuwa hajui walikuwa wanachart kitu gani na baada ya ugomvi huo mwanamke anataka mahusiano yaishe na anasisitiza yupo serious, anasema amejaribu kumpigia simu mara nyingi lakini hapokei, amemwandikia message nyingi lakini ameishia kujibiwa kwa matusi ambayo amegoma kuniambia

Mwisho anaomba nimshauri afanyeje amrudishe kama zamani? Afanyeje ili aaminike? Ananiambia anampenda huyu mwanamke kwa nguvu zake zote na swala la kuachana naye sio option.

WATU WANGU NAOMBA MUMSAIDIE.

Aendelee na maisha na atafute wa tano na inaonyesha kipya kinakuwa na mapenzi makubwa. Huyo wa tano pengine atakuwa wa uhakika zaidi. Mwambie aache kubwabwaja juu ya waliopita dada zetu wanataka wadanganywe kuwa wao ni wa awali!
 
Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu, akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri.

Anasema ana umri wa karibia 30, hajaoa ila kwa nyakati tofauti amekuwa na mahusiano na wanawake wanne tofauti ananiambia kati ya hao wote hakuwahi kumpenda yeyote mpaka huyu aliye naye sasa hivi ambaye anasema anampenda sana na ananiambia ameprove hilo kila anavyowaza maisha ya baadaye bila yeye. Ananiambia tatizo lake ni kwamba huyu mwanamke hajawahi kumwamini hata kidogo japokuwa, Mara nyingine anamtuhumu kuwa anatembea na Marafiki zake na kibaya zaidi na girlfriend wake wa zamani, na kwa maneno yake hana mawasiliano na girlfriend wake aliyepita na anashangaa kwa nini imekuwa ngumu kuaminikaa.

Kwa maneno yake anasema jambo hilo halijawahi kumpa furaha hata kidogo na mara zote kila akiwaza hilo anapata sana shida, anasema yeye mwenyewe ana tatizo binafsi kwa sababu ya kutokuaminiwa na yeye amepata shida sana kumwamini huyu mwanamke. Jambo lingine ambalo anakiri kuwa nalo ni hasira na anawaomba pamoja na mambo mengine mumsaidie jinsi ya kumoderate hasira zake. Ananiambia licha ya kutokuwa na ajira amejitahidi kwa uwezo wake kutumia kile kidogo na mpenzi wake licha ya ukweli kwamba huyo mpenzi wake ana kipato kikubwa zaidi yake.

Anasema mara ya mwisho wamegombana huku sababu zikiwa hizohizo za kutuhumiwa lakini kikubwa zaidi jamaa amekuta mwanamke ndiye anayewasiliana na boyfriend wake japokuwa hajui walikuwa wanachart kitu gani na baada ya ugomvi huo mwanamke anataka mahusiano yaishe na anasisitiza yupo serious, anasema amejaribu kumpigia simu mara nyingi lakini hapokei, amemwandikia message nyingi lakini ameishia kujibiwa kwa matusi ambayo amegoma kuniambia

Mwisho anaomba nimshauri afanyeje amrudishe kama zamani? Afanyeje ili aaminike? Ananiambia anampenda huyu mwanamke kwa nguvu zake zote na swala la kuachana naye sio option.

WATU WANGU NAOMBA MUMSAIDIE.

Wanaume tunatia aibu wakati mwingine
 
mwanamke amefikia kumtukana na yeye hataki kumuacha maelewano hakuna,hii ngumu kumesa,nadhani rafiki yako bado nafsi yake haijakubali kua mwanamke ameshamshiba,sasa basi aendelee na kukubali mitusi kejeli na fedheha mpaka pale atakapoona hapa sasa ndio mwisho wa reli ataachia ngazi pole pole wala hatosikia la mtu...
 
Usipoteze muda wako, pigania maisha yako zaidi huyo kagundua huna kitu ndio maana analeta pozi. Tafuta pesa kwanza wachumba wapo tele hakuna haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom