D David franco Member Joined Jun 28, 2013 Posts 27 Reaction score 3 Oct 9, 2016 #1 naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,535 Reaction score 7,946 Oct 9, 2016 #2 Hutaweza kamwe zaidi ya kwenda kuomba kwenye ofisi za mtandao husika. Wakikuonea huruma sana wakupe.
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,030 Oct 9, 2016 #3 David franco said: naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani?? Click to expand... Nilionaga wondershare wana hiyo app jaribu kuwachek...nlishawai recover sms flan hivi
David franco said: naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani?? Click to expand... Nilionaga wondershare wana hiyo app jaribu kuwachek...nlishawai recover sms flan hivi
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 Oct 9, 2016 #4 data recover ila hio natumiaga kwa PC ebu jaribu kama kwenye simu itafanya kazi