bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,375
- 3,975
Mimi ni kijana wa miaka 24 ila kuna msichana nimekutana nae sasa ni mwaka na miezi kadhaa imepita mapenzi yetu ni mazuri,yeye anamiaka 29 na pia ni mkatoliki mm ni mpentekoste nataka nimuoe na yeye pia anataka nimuoe vp hapo inakuaje wadau nahofia kumpeleka kwa mama kwa hizo tofauti za umri na dini.

Hahaha, mkuu umeamua utoe neno moja tu very powerful!!pumbafu
Hahaha, mkuu umeamua utoe neno moja tu very powerful!!
Mleta mada atakua kajisikia vibaya sana
Acha ufara wew tafuta mwingne mwenye umri kati ya 18-21 huyo ndiyo anafaa wew unataka kuoa dada yako? Hujui huyo ni sawa na dada yako?
Masaburi, Sengeeeeee
Mwanamke akuzidi kila kituu ila sio KIPATO...utaona shida za kila rangi, kila laheri bwana harusi to be!!!
Mhhhhhh