Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Pole sana mpenz,jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati nzuri kapokea ila kila analo liongea tofauti naninavyo muuliza machale yakenicheaa nikamwambia niambie unanipenda au unikiss sikaaniambia kiluga bahatinzuri wote niluga moja nikamwambia niambie kiswahili sikangoma anazuga sasa nikajakusikia sauti ya mdada anaogea etichumbani umekimbia nini kunakungini alafu unaongea nanai nipe hiyo sm huyu mkaka alishindwa kukatasim ilipitakama dakika 2 akakatasimu nilipigailesm kama call30 hakupokea badae ananipigiacm anacho nieleza simuelewi hapanimechoka na mahari kashatoa mumesimtaki tena kumuona japo ananiambia tuonane je kunajipya hapo eti ;
nisaidieni kwamawazo jamani.
nisamee kwa mandiko mbovu ila nikuchanganyikiwa bwana wacha nilekebishe naona umenishitua
loh huna reserve figure?
Shtuka .....!!!!!
Smile bwana, ww ni wa pekee mamito!!!loh huna reserve figure?
mimi nikisema watu wawe na akiba mnaniona mbaya ona sasa vilio kila sikuPole sana nasoma comment za wengine nitapata picha labda
mimi nikisema watu wawe na akiba mnaniona mbaya ona sasa vilio kila siku
tatizo na wadada huwa unabweteka mwanaume anakuchumbia miaka minne eti ya nini? ina maana kipindi hicho hutongozwi? na ukitongozwa unajibu nini? mchumba,kishika nyumba au nini? tuweni wajanja invest sehemu hata mbili tatu jamani.mwanamke kutulia ni kwenye ndoa shostishoSmile bwana, ww ni wa pekee mamito!!!
kweli mkuu hana jeuri ya kumuacha maana alishachezea muda wake vibaya kwa kujibweteka sehemu moja. ndo ishakuwa hivo avumilie tu maana kwanza hamna mwanaume wa peke yako .hata ni ngumu mwanamke kumhudumia mwanaume peke yako.lazima ukubali kusaidiwa kidogoMbona akina dada hampeani ushauri mzuri?? Mnafikiri kumwambia mwenzio aachane naye ndo ushauri huo unaoweza kumsaidia??
Mtoa Mada: Nakushauri umtafute mwenzio huyo, ukae naye, uongee nae. Maana huenda siku hiyo "alizidiwa" kidogo.... Jamani msamehe tu bure, tena tangaza tarehe ya harusi haraka, atatulia huyo. Nani kati yenu mnao toa ushauri hamjawasaliti wenzi wenu?? Ambaye hajafanya hivyo, awe wa kwanza kushauri.... Acheni Unafiki akina dada..
Nasisitiza tena, suluhu ni kuongea naye na kuwa karibu naye SIYO kumwacha.
mimi nimetulia sana na tengeneza makoloni yangu. sitaki shida mieHujatulia wewe ngoja nikuandalie Kitchen Party
Kwa wanaume wa siku hizi jaman,tatizo na wadada huwa unabweteka mwanaume anakuchumbia miaka minne eti ya nini? ina maana kipindi hicho hutongozwi? na ukitongozwa unajibu nini? mchumba,kishika nyumba au nini? tuweni wajanja invest sehemu hata mbili tatu jamani.mwanamke kutulia ni kwenye ndoa shostisho
wekezeni ohooo
aahaaa maisha ni haya haya canta,uzuri wa wanaume ni wazuri kukubali matokeo ,hawapendi kulazimisha,wadada ndo wanapenda ujinga huo sasa unaenda kulia ukumbini ili nini? mwanaume unamwambia tu kuna mchumba nimetafutiwa na wazazi nimelazimishwa yaani hata atakusindikiza huko kwa amani kabisaKwa wanaume wa siku hizi jaman,
Hii pointi yako inaukweli ndani yake kbs,
Inanikumbusha kuna mkaka aliliwa siku ya ukumbini siku ya harusi yake na wadada 2,
Kumbe naye aliinvest kwa wadada 3,na wote aliwavisha pete akaamua kufunga ndoa na 1,bila kuwajulisha wengine,
Wakapata habari watu wako ukumbini waliposhuhudia walishindwa kujizuia walilia kwa uchungu lkn ndio ikawa imekula kwao!!!
kuchanganyikiwa kubaya,walikuwa hawaamin cjui,ila ndio hivo tuombe mungu aepushie mbali!aahaaa maisha ni haya haya canta,uzuri wa wanaume ni wazuri kukubali matokeo ,hawapendi kulazimisha,wadada ndo wanapenda ujinga huo sasa unaenda kulia ukumbini ili nini? mwanaume unamwambia tu kuna mchumba nimetafutiwa na wazazi nimelazimishwa yaani hata atakusindikiza huko kwa amani kabisa
kila kitu ni ujanja mamitokuchanganyikiwa kubaya,walikuwa hawaamin cjui,ila ndio hivo tuombe mungu aepushie mbali!
jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati nzuri kapokea ila kila analo liongea tofauti naninavyo muuliza machale yakenicheza nikamwambia niambie unanipenda au unikiss sikaaniambia kiluga bahati nzuri wote niluga moja nikamwambia niambie kiswahili sikagoma anazuga sasa nikajakusikia sauti ya mdada anaogea" etichumbani umekimbia nini kunakunguni, alafu unaongea nanai. nipe hiyo sm" huyu mkaka alishindwa kukata sim ilipita kama dakika 2 akakatasimu nilipiga ile sm kama call30 hakupokea badae ananipigia cm anacho nieleza simuelewi. hapanimechoka na mahari kashatoa mume simtaki tena kumuona japo ananiambia tuonane je kunajipya hapo eti ;
nisaidieni kwamawazo jamani.
Mbona akina dada hampeani ushauri mzuri?? Mnafikiri kumwambia mwenzio aachane naye ndo ushauri huo unaoweza kumsaidia??
Mtoa Mada: Nakushauri umtafute mwenzio huyo, ukae naye, uongee nae. Maana huenda siku hiyo "alizidiwa" kidogo.... Jamani msamehe tu bure, tena tangaza tarehe ya harusi haraka, atatulia huyo. Nani kati yenu mnao toa ushauri hamjawasaliti wenzi wenu?? Ambaye hajafanya hivyo, awe wa kwanza kushauri.... Acheni Unafiki akina dada..
Nasisitiza tena, suluhu ni kuongea naye na kuwa karibu naye SIYO kumwacha.
HAPANA kwa herufi kubwa hakuna mwaminifu ...ila km MAMA D alivyosema hapo juu ,viwango vinatofautiana tu basi.Hii siyo kweli waaminifu wako tu but uaminifu nje ya kumcha Mungu ni ngumu,ni jambo baya sana kuoana na mtu asiye mwaminifu Zimwi la ukimwi ni ngumu kulikwepa heri kutoolewa kuliko kuolewa na mtu ambaye unajua roho yako itakuwa mkononi kila siku,na hata ukitaka kuendelea kuoana naye mkapime kwanza ngoma mengine baadaye.