Naombeni msaada

Mpwidu

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
111
Reaction score
117
JF habari zenu,

nimeamka asubuhi nimejikuta na hii hali kidaka tonge kimeongezeka urefu mpaka muda mwingine kinakuja nigusa katika ulimi. Anayefahamu hili naomba kupatiwa muongozo na msaada wa matibabu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio Maana ya Huduma ya kwanza Mkuu, pia hapa hakuna wapumbavu au wajinga Kama unavofikiri, pia hao hao utakaowakuta hospital wengine Ndio Watatupatia Huduma ya Kwanza Hapa kabla ya Kyle, Nafikiri inakua n Bora zaidi.
Kijana unaacha kwenda hospital unakimbilia JF kuomba msaada!! Hii mitandao ya kijamii mjifunze kutumia then humu JF kuna jukwaa la afya (JF DOCTOR)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kuna watu wanakipunguza, Morogoro yupo bi mkubwa mmoja ndio kazi yake, lakin ni vizur ukaenda hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…