Mkuu mm wa tecno ikifanya ivyo Nitumie GB ngapi?Connect na iTune na hakikisha una bundle kama la GB 3.5 ili uweze kurestore simu yako
Tecno 1.5 mpaka 1.9GB hivi na utaflash kwa kutumia SP Flash Tool.Mkuu mm wa tecno ikifanya ivyo Nitumie GB ngapi?
Msaada si umepewa hapo juu?Naombeni Msaada Wandugu.
Hakuna haja Ndugu.Asante Mkuu nikauliza Tena je itahitaji Apple ID Mpya au
kwani umeisahau mbona unaogopa!!Mkuu Asante Sana ika baada ya ilo zoezi itahitajika kungiza Apple ID Upya au?

