Kuna mdogo wangu,nilimpeleka muhimbili hospital,anasumbuliwa na tumbo wakampima,wakasema anasumbuliwa na duedanal ulcers,cha ajabu hata akila pilipili,maharage,na vitu vyote vyenye acid,tumbo halimsumbui hata kidogo!je nifanyeje wakuu?
Sina utaalamu na hilo ila tutamuomba Mwe.Muungu amsaidie mdogo wetu apone.
Lakini najua wapo hapa wataalamu watakusaidia ushauri bora zaidi(pole kwa mitihani)