Naombeni msaada

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2015
Posts
795
Reaction score
479
Ndugu zangu samani naombeni msaada. Mrs wangu amehitimu diploma ya ualimu mwaka huu open university na anahitaji kuunga degree na hadi sasa haijajulikana utaratibu ukoje. Tafadhali naomba anayejua anipe msaada.
 
Ana GPA ya ngapi?
 
Maelezo yako hayajitoshelezi.

Anahitaji kuunga Degree chuo gani?

Utaratibu upi ambao haujajulikana wakati TCU waliahatoa utaratibu

Kila chuo kinadahili wanafunzi wake na TCU wanapitisha.

Maombi awamu ya pili yameshafunguliwa kila mtu kama hakupata awamu ya pili anatakiwa kuomba kupitia chuo husika.

UTARATIBU UPI UNATAKA WEWE.?
 
Open
 
Ndugu zangu samani naombeni msaada. Mrs wangu amehitimu diploma ya ualimu mwaka huu open university na anahitaji kuunga degree na hadi sasa haijajulikana utaratibu ukoje. Tafadhali naomba anayejua anipe msaada.
Ningekupa ushauri ila hiyo avatar yako imenikatisha mood. .. Ngoja wengine waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…