MALISA92
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 148
- 57
Habarini.
Nina modem ya ZTE model MF 190 na imeshakuwa unlocked...tatizo lake limezuka juzi kwamba kila niki connect inafanikwa kwa dakika chache then ina disconnect yenyewe.
Nimejaribu kuchek kama ime miss driver nikakuta ime miss driver inaitwa ZTE WCMDA technology sim driver.
Sasa wakuu naombeni kwa anayejua jinsi ya kuipata inielekeze kwani nilisha google sana na pia nilijaribu ku find hyo driver automaticaly kwa window 7.pro ila imeshindikana.
ASANTENI SANA.