Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
nimepeleka Laptop yangu compaq 515 kwa fundi ili isafishwe feni، lkn baada ya kusafishwa ilipo fungwa ikakataa kuwaka.
kwa maelezo ya fundi akiifungua akijaribu kuiwasha inawaka lkn akiifunga akiiwasha inagoma kuonyesha،. kwahiyo fundi ameshindwa kuitengeneza، km kuna mwenye idea anielekeze nikamwambie fundi.au km upo tayari kuitengeneza tuwasiliane 0688501557 نه