Naombeni msaada wenu jamani


mimi hapa tu unaponipa raha ,mtani wangu!i see natafuta tafuta kwenye makabrasha yangu nione naweza kukutunuku zawadi gani!a minute please!
 
Dah, nshawahi kusikia kua mahawala hawaachani, nahisi ndicho kinachotokea kati ya mshkaji na huyo mdada! Infact huyo ni mke WENU na mchizi..! Halafu, soma kaka.... Piga kitabu, kuna watu wanawatafuta hizo nafasi kwa udi na uvumba.. Kamua mwanangu, mapenzi yapo tu... Ukiwa na maisha mazuri watakuja wenyewe tu. Jikaze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…