Naombeni msaada waungwana

JPM605

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
216
122
Mi ni kijana niliepangwa DUCE BEDS. Nimetokea Kilimanjaro na hapa Dar nimeshukia maeneo ya Kigamboni. J1 niliripoti Chuoni nikakuta ya kuwa sijapangwa hostel yoyote kati ya Mabibo na Mbagala. Nilijiandikisha katk ofisi za DARUSO ili nipewe malazi mbadala jambo ambalo sijafahamu hasa litakuwa na hatma gani! Nimesikia ya kuwa Hostel Za Mbagala huwa ziko mbali na hivyo wengi hawana utayari wa kwenda. Binafsi naomba kama kuna mtu wa namna hiyo nifanye nae majadiliano yatakayoweza nisaidia kupata malazi. Ahsanteni!
 
ningependa nikusaidie ila sina ufahamu kwa hili...ila jaribu sana fwatilia hiyo ya mbagala...mengine tungojee wataalamu waje....
 
Back
Top Bottom