Naombeni msaada wana jf (mobile spy)

Chukua cm yake nenda playstore then download SMS FORWARDER kisha ktk hio apps weka namba yako then hide icon usubiri matokeo.
 
Khaa!! alisema akitaka aache kunifutilia basi niachane na .....(akataja majina ya wasichana wawili)
 
badilisha simu ili asikupate kwenye imei:
Pia sajili line mpya kwa majina tofauti:
Badili fb ac na mitandao mingine
mwisho kabisa uwe
"luker"
halafu ukome wengine si watu
 
Una hatari ww, unamuachaje mtu afatilie mawasiliano yako! hamka kijana
 


Unatumia smartphone Mkuu? jarimu kuacha na kutumia simu zisizo na capability kubwa, mf kitochi
 
Format simu uianzishe upya tuone kama atakupata.

Sometym kuna app unaeza kutumiwa inakurequest kuaccept na we ukakubali, kumbe unaingia mkenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…