Naombeni msaada wa mawazo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kwanza nitangulize kusema sitaki watu wakunicheka, kama wewe unajua kila kitu mimi sijui ndiyo maana naomba msaada.

Kuna mwanadada ambaye nilikuwa na mfukuzia miezi takribani 3 na nusu, ila alikuwa ananitupilia nje kila nikijaribu kuingiza voko zangu, lakini nilikaza kwa bahati nzuri akaniambia ni mpe muda wa kufikiria.

Nilimpa mda kweli kwa bahati nzuri, jana ndiyo nikaongea naye kama kawaida nikaomba jibu langu nikaona ameshikwa na kigugumizi akawa anashindwa kujibu. Nikaona siyo kesi acha nifanye ufupisho.

Nikajibu kuwa tayari nimeelewa kwa hiyo niliomba tu anipe ratiba yake ya kuongea naye, akanipa eti Jumamosi tu.

Ila kinacho nifanya niombe msaada ni kuwa huyu mwanamke yupo tofauti na wanawake ambao nimezoea kutongoza kabisa, yaani nina maana tabia zake zipo tofauti.

Cha kwanza siyo muongeaji sana, pili naona ni mtu ambaye hana shauku sana na mapenzi na cha mwisho yeye hakujibu kama ananipenda ila niliona nifanye ufupisho labda alikuwa anaona aibu ya kujibu "I love you too", ndiyo maana niliona ni jibu ki ufupisho kuwa nimeelewa.

Kwa hiyo mwanamke kama huyu, ni njia zipi ninaweza kuzitumia ili niteke hisia zake?
 
Halafu raia kama huyu unakuta hana hata laki 2 kwenye akaunti lkn yupo busy kutongoza vibaka [emoji28]itoshe kusema tu kama huna pesa plus muonekano 0, hakuna mwanamke atayevutiwa na wewe kimapenzi!,hivi nyie mnaishi Dunia ipi hadi mnapangiwa ratiba za kupiga simu!?,mbona sisi wengine missed call 20 kwa siku na hatupokei!
 
Nina jamaa zangu wasiojulikana wanafanya snatch and grab na kidnapping no evidence nikutumie namba zao wakateke hisia zake. Lakini kwakua ni mtu mmoja tu basi nipatie namba zake nikateke hisia zake mimi mwenyewe.
 
Umeshamkalisha huyo,,
Unajua kwenye art of seduction Kuna hii point ya "I don't need you, you need me" wanawake wengi wanayo hiyo in nature, yani mwanamke ni mtu anayeonekana hataki kabisa kusikia habari za mapenzi ila wao ndo wanayataka kutuzidi.
 
Ukishamkula once atakaa sawa tu, mwanamke muongeaji ndo mzuri sasa sema isiwe too much.. Mwanamke akiwa mpole ni hatari kwa afya yako ya mwili na akili huwa wako capable kumtrick mwanaume vyovyote na usijue au ukaja jua kushakucha.

NB: Kama una malengo nae mjali na kumtunza mfikie lengo zuri (NDOA)...
 
Mwanamke kukukataa au kusita kukupa kunaweza kusababishwa na vitu kadhaa:

1.Ameumizwa na anaogopa kuingia kwenye mahusiano.

2.Anakusoma kama upo serious na unamaanisha unachokisema.

3.Ana mtu mwingine ila upande huo hana uhakika sana kama atafika hatua ya ndoa na anahisi wewe unaweza kumfikisha hiyo hatua hivyo hawezi kukuambia ana mtu.

4.Anakupenda pia ila hana uhakika.

Kama umemsoma na kumuelewa nakushauri wekeza kwake (mtunze) na umuoe.

Kila la kheri
 
Mle tigo utapata majibu ya maswali yako
 
Kuna demu wangu alinisumbua sana kunikibali na alikuwa na aibu sana nikajisemea pia kwa kuwa sio muongeaji anafaa huyu wa kuoa. Siku nakula mzigo alikuwa anapiga kelele alafu akasema oh my god aisee nilivyokuja muliza hiyo my god kaijulia wapi akadai aliona kwenye movie nikajua usanii mwingi tu hapa. .
 
Toa pesa Acha bla bla bla........huyo anataka pesa akupe ukitakacho........kama huna endelea kumuona Tu na kujijibu mwenyewe
 
Mbona unaleta story za miaka ya 90? Miaka hii unasubiria jibu kama anakupenda au la?Hivi haya mambo bado yapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…