Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila vikikomaa vinakuwa vigumu kama tezi halafu ukivifinya vinatoa vitu vyeupe(Gel) ikiwa mfano wa cream inavyotoka kwenye tube, nimefanya vipimo vya kila aina bila mafanikio.Pamoja na changamoto za kifedha nimetafuta tiba kwa muda wote huo bila mafanikio, sijafanikiwa kuonana na wataalamu kutoka hospitali nyingine kubwa tofauti na bugando.nawasilisha naombeni msaada wa ushari pamoja na mawazo,
AsanteniView attachment 800871
Kiongozi hapo sijaelewa unamaanisha nini?Naziona dalili zote za Nyuzi za Gitaa bora kabisa la Solo la Mkung'utaji wake maarufu huko Congo DR aitwae ' Dally Kimoko '.
Siamini kama hiki kimeandikwa na wewe...!!!Naziona dalili zote za Nyuzi za Gitaa bora kabisa la Solo la Mkung'utaji wake maarufu huko Congo DR aitwae ' Dally Kimoko '.
Asante nashukuru kwa ushauri wakoDaaah! Pole sana. Wakina Dokta Mwang'ondi wameshindwa kabisa! Mimi nilikuwa na vipele kichwani nimezunguka hosptali kibao hadi Kairuki bila kupona ila nilipopewa rufaa ya kwenda Bugando nilipewa dawa ya kumeza wiki mbili na cream ya kupaka nikapona kabisa. Kama imeshindikana hapo nakushauri uende hospitali ya KCMC Moshi hapo ndo wataalamu wa tiba ya ngozi wanapozalishwa.
Kwa vip?Siamini kama hiki kimeandikwa na wewe...!!!
Ulivyokwenda Hospitali kupima je Daktari wako alikwambiaje?na je umewahi kupima Damu yako? Na je upo mji gani?jibu maswali yangu yote niliyo kuuliza.Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila vikikomaa vinakuwa vigumu kama tezi halafu ukivifinya vinatoa vitu vyeupe(Gel) ikiwa mfano wa cream inavyotoka kwenye tube, nimefanya vipimo vya kila aina bila mafanikio.Pamoja na changamoto za kifedha nimetafuta tiba kwa muda wote huo bila mafanikio, sijafanikiwa kuonana na wataalamu kutoka hospitali nyingine kubwa tofauti na bugando.nawasilisha naombeni msaada wa ushari pamoja na mawazo,
AsanteniView attachment 800871
MsameheSiamini kama hiki kimeandikwa na wewe...!!!
Nipo mwanza, nimefanya FBP, BLOOD CULTURE, VDRL, Lakin majibu waliniambia hakuna shida labda typhoid na aleji pia kwahiyo kuhusu aleji jaribu kujichunguze mwenyewe,Ulivyokwenda Hospitali kupima je Daktari wako alikwambiaje?na je umewahi kupima Damu yako? Na je upo mji gani?jibu maswali yangu yote niliyo kuuliza.
Njoo pmHabari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila vikikomaa vinakuwa vigumu kama tezi halafu ukivifinya vinatoa vitu vyeupe(Gel) ikiwa mfano wa cream inavyotoka kwenye tube, nimefanya vipimo vya kila aina bila mafanikio.Pamoja na changamoto za kifedha nimetafuta tiba kwa muda wote huo bila mafanikio, sijafanikiwa kuonana na wataalamu kutoka hospitali nyingine kubwa tofauti na bugando.nawasilisha naombeni msaada wa ushari pamoja na mawazo,
AsanteniView attachment 800871
AsanteNenda kwenye duka la dawa utafute hii dawa. Inauzwa kati ya Tsh 3,000-4,000. Inaweza kukusaidia.
Ok ninaweza mimi kukutibia na ukapona nitafute kwa wakati wako na Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuNipo mwanza, nimefanya FBP, BLOOD CULTURE, VDRL, Lakin majibu waliniambia hakuna shida labda typhoid na aleji pia kwahiyo kuhusu aleji jaribu kujichunguze mwenyewe,
Sawa nashukuruOk ninaweza mimi kukutibia na ukapona nitafute kwa wakati wako na Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu