SwahiliFlirt
Member
- Dec 27, 2015
- 40
- 30
Upo wap mkuuSiku hizi majukumu yamenifanya niwe busy nishindwe hata kudownload magame. Game za hapo juu sina ila nina Game zifuatazo nazo ni nzuri pia :-
1. Call of Duty 5
2. GTA San Andreas
3. Project IGI 1.
4. Call of Duty 4 'Hii Game tamu sana'
5. Call of Duty 3 '13GB Huu mzigo uko vema sana, full kupambana na warusi'
6. Need For Speed Most Wanted
7. Fifa 14, hii mpaka niende kwa rafiki yangu nikaichukue ila mimi nishaifutaga.
8. Mpaka niingie ktk PC
.........
Kigamboni, Dar es Salaam!Upo wap mkuu
Asante mkuu nilikua nazitaka kweli hizo series za call of duty naku DM now tujue tunasaidianaje mkuuSiku hizi majukumu yamenifanya niwe busy nishindwe hata kudownload magame. Game za hapo juu sina ila nina Game zifuatazo nazo ni nzuri pia :-
1. Call of Duty 5
2. GTA San Andreas
3. Project IGI 1.
4. Call of Duty 4 'Hii Game tamu sana'
5. Call of Duty 3 '13GB Huu mzigo uko vema sana, full kupambana na warusi'
6. Need For Speed Most Wanted
7. Fifa 14, hii mpaka niende kwa rafiki yangu nikaichukue ila mimi nishaifutaga.
8. Mpaka niingie ktk PC
.........
Sawa Mkuu, karibu!Asante mkuu nilikua nazitaka kweli hizo series za call of duty naku DM now tujue tunasaidianaje mkuu