Kioo chake kinakaribia kufa kabisa,wahi mapema kubadilisha kioo.Uko wapi? Ungekuwa Arusha ningekusaidia kubadilisha kioo chako kama ungependa.!Nahitaji msaada wadau wa IT, laptop yangu nikiiwasha display inabadilika rangi inakuwa black and white baada ya muda ndio inarudi ktk haliyake ya kawaida, Nifanyaje?
Kioo chake kinakaribia kufa kabisa,wahi mapema kubadilisha kioo.Uko wapi? Ungekuwa Arusha ningekusaidia kubadilisha kioo chako kama ungependa.!
kusema si kweli bila maelezo ya kutetea point yako unanikumbusha primary school unaambia jibu KWELI kama ndio SIKWELI kma hapanasi kweli...
Kaka unachokisema ni sahihi ila si wakati wote mtu anakuwa na muda wa kuelezea jambo kiundani.Kingine hii ni forum ya IT kwa hiyo tunategemea watu wanaojibu vitu ni watalaam wa IT na wanajua wanachokisema.Mimi binafsi siwezi kutoa solution ya kitu ambacho sijawahi kukutana nacho au sina uhakika na jibu langu.Kwa mfano tatizo la hiyo laptop as long inadisplay vizuri,screen haina shida kwa hiyo habari za kioo kufa nami nasema inawezekana si kweli,screen ikifa huoni chochote, possibly inverter ina tatizo or anything else or lose cable from screen to the MB.Ila hata madaktari si magonjwa yote wanayatibu remotely.Atafute mtalaam aliye karibu naye, sana sana sisi wa mbali tutamshauri amwombe huyo mtalaam achunguze vitu gani.kusema si kweli bila maelezo ya kutetea point yako unanikumbusha primary school unaambia jibu KWELI kama ndio SIKWELI kma hapana
You are likely to be right.si kweli...