Naombeni msaada kwenye Gallaxy Note 2

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu heshima iwe kwenu,Kila ninapojaribu kuinstall application yoyote kutoka Play Store inagoma inaniandikia ujumbe huu,"WhatsApp Messenger" could note be downloaded due to an error(403) nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini.
 
Hiyo note 2 original au mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…