Naombeni Msaada kuhusu Transfer

Erickson0708

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
207
Reaction score
34
Iv inawezekana ukafanya usajili chuoni ulipopangwa den baada ya hapo ukafanya transfer ya kwenda chuo kingine? Na kama ikiwezekana madhara yake ni yap?
 
Yah.. inawezekana kabisa, Madhara yake ni mkopo wako kucheleweshwa kuhamishiwa katika chuo ulichohamia
 
Iv inawezekana ukafanya usajili chuoni ulipopangwa den baada ya hapo ukafanya transfer ya kwenda chuo kingine? Na kama ikiwezekana madhara yake ni yap?

Bla Shaka Utakua Umepagwa St Joseph Ndugu?..,transfer Ztafanyika Online Accordin To Available Slots Ztakazo Kuwepo Kuptia Accnt Yko Ya Tcu Na utalipia Elfu30..Hvo Stay Updated Til Muda Wa Transfer Utakapofunguliwa Coz Stakua Ni "first In First Served" .,,madhara Yake Ni Kuchelewa Kwa Mkopo Wako Kwenda Ulpohamia
 

Ndio aseeh nimepangwa st.joseph

Naona muda unaenda tyu hawatufungulii dirisha la transfer. Dahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…