kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Daah poa poa shunieJiamini wewe halafu acha kupania sana kingine acha kumpeleka ghetto la rafiki yako mpeleke hilohilo lako hata kama unalala chini mkuu
Daaah sawa mkuuShoo yako itakuwa mbovu kwanza umepanic pili hauna confidence una woga
Ni ngumu kwa mwanamume kuperfom vizuri katika hali hizo
Hiyo j3 mwambie kwanza unataka kumtoa out mkapate dinner na maongezi ya hapa na pale hiyo itakupa hali ya kujiamini.
Mpeleke sehemu utakayokuwa nayo comfortable tafuta lodge nzuri achana na mageto ya wana.
Usifike tu na kuchojoa na kuingiza nakwambia mdogo wangu ukifanya hivyo tako 3 tu wazungu walee na ndo mwanzo wa shoo kuwa mbovu
Kabla ya kuanza kusuuza rungu kwanza mchezee kwa romance za kufa mtu mpaka mtoto alegee wao wenyewe huwa wanasemaga tu "naomba uniingize mpenzi" sasa hapo anza kumpelekea moto
Sawa mkuuMawaili hapo hairisha umtafute siku nyingine maana kimsingi ushapoteza mchezo kimbinu,,au aje ujitutumue hivo hivo utajua Cha kujitetea si kakuelewa mwenyew
Another man down! Jf stress freeWakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale. Ipo hivi,
Nina mwezi sasa sijakutana na mwanamke, sasa kuna demu nimempata anakuja j3 ndio first time lakini najikuta nimejaa hofu sana kama huenda nikaperform low.
Maana naona kama naogopa show. Ni pisi kali kinoma huyu demu, alinielewa yeye mwenyewe tu.
Naombeni ushauri wa kisaikolojia.
Swala la pili, ghetto langu halipo poa, sasa nataka nimuazime jamaa yangu ghetto ili demu akija ajue langu.
Naombeni ushauri wa kimawazo.
[emoji51][emoji51][emoji51]