Naombeni msaada juu ya ndevu za wadada wadau!

stevelwa

Member
Nov 2, 2012
72
20
Assalaamu alekhumu wadau wote jukwaani, mwenzenu nna kituo flan uku kijijin sasa napata sana shida juu mabinti wadogo kwa wakubwa kuota ndevu mapka sasa nachanganyikiwa na kituo changu uku kiana kinatoa elimu ya afya na kujitambua, nataka kama inawezekana kuwakinga niwajulishe au wale waliotya pia nao niwasaidie kwa hilo, tafadhalini sana mnisaidie wadau namii nisaidie watu wa kijijin kwangu kwani wanateseka na wimbi nahisi linaongezeka kwani hata huko mjini napo nmeliona hilo jambo, hawa mabint yawezekana wakaja kuwa wake zenu, mawifi au mashemeji. mniokoe mwenzenu na hawa ndugu zangu jamani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom