Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,330
- 33,139
Dawa za asiliza kupunguza uzito na unen pamoja na kitambi zipo na ukitumia unaweza kupunguwa huo unene kitambi na tumbo.Wana JF habarini, bila ya kupoteza muda na maneno mengi naombeni mnisaidie ushauri wa dawa nzuri ya kupunguza unene, hasa kitambi.
Nawategemea jamani
Kuruka kamba ni zaidi ya kukimbia ukiruka kamba dakika 20 ni sawa na umekimbia karibu saa nzima
Nadhani cha msingi ni ulinganifu ☺️Punguza masihara kidgo.. Kukimbia uko kwa Saa 1.. Kwa spid ip maana kuna kukimbia na kutembea
Nadhani cha msingi ni ulinganifu
Braza kukimbia kwa Saa 1 ni sawa na umekimbia zaid ya km 10.. Sasa unataka kunambia kukimbia km zaid ya 10.. Ni sawa na kuluka kamba kwa Dakika 20tupunguze utani kidogo..
Spidi ya kawaida tu kilomita moja unakimbia kwa dakika saba hivi unafika mbona lisaa limoja utaenda kama kilomita nane hivi...Punguza masihara kidgo.. Kukimbia uko kwa Saa 1.. Kwa spid ip maana kuna kukimbia na kutembea
Aah ruka kamba dakika 20 mfululizo uone yani ukianza saa moja kamili hadi saa moja na dakika 20 unaruka tu utaona huo motoBraza kukimbia kwa Saa 1 ni sawa na umekimbia zaid ya km 10.. Sasa unataka kunambia kukimbia km zaid ya 10.. Ni sawa na kuluka kamba kwa Dakika 20tupunguze utani kidogo..
Ukiskia full body cardio ndo iyo kuruka kamba na utakuwa mwepesi balaaaHiv kuruka kamba nayo inaweza ikawa effective kama kukimbia? Kwa kuwa ratiba yangu iko tight na siwez kukimbia saa 11 usiku kwa maeneo yangu huku.
Kumbuka kukimbia kunategemeana na speed ya mtu, mtu anaweza akakimbia kwa kutrot ile ya chini kabisa na akaenda kwa lisaa limoja.
Ila cha msingi ni alitaka kumaanisha kwamba kuruka kamba ni more effective kuliko kukimbia japokuwa yeye aliexegarate kidogo
Spidi ya kawaida tu kilomita moja unakimbia kwa dakika saba hivi unafika mbona lisaa limoja utaenda kama kilomita nane hivi...
Ila kama hujawah kukimbia lisaa limoja sio mchezo anza slow hata dakika 20 fresh
Jina lako tu ni utapeli toshaKama kuna anayehitaji virutubisho asili vya kupunguza uzito ndani ya siku 21 anipigie. Virutubisho ni njia ya pili baada ya mazoezi. Kwaio kwa wasiopenda Mazoezi karibuni 0763944317