Naombeni msaada: Dawa ya kupunguza uzito/unene/kitambi

Kumbuka kukimbia kunategemeana na speed ya mtu, mtu anaweza akakimbia kwa kutrot ile ya chini kabisa na akaenda kwa lisaa limoja.
Ila cha msingi ni alitaka kumaanisha kwamba kuruka kamba ni more effective kuliko kukimbia japokuwa yeye aliexegarate kidogo
Braza kukimbia kwa Saa 1 ni sawa na umekimbia zaid ya km 10.. Sasa unataka kunambia kukimbia km zaid ya 10.. Ni sawa na kuluka kamba kwa Dakika 20 tupunguze utani kidogo..
 
Punguza masihara kidgo.. Kukimbia uko kwa Saa 1.. Kwa spid ip maana kuna kukimbia na kutembea
Spidi ya kawaida tu kilomita moja unakimbia kwa dakika saba hivi unafika mbona lisaa limoja utaenda kama kilomita nane hivi...

Ila kama hujawah kukimbia lisaa limoja sio mchezo anza slow hata dakika 20 fresh
 
Braza kukimbia kwa Saa 1 ni sawa na umekimbia zaid ya km 10.. Sasa unataka kunambia kukimbia km zaid ya 10.. Ni sawa na kuluka kamba kwa Dakika 20 tupunguze utani kidogo..
Aah ruka kamba dakika 20 mfululizo uone yani ukianza saa moja kamili hadi saa moja na dakika 20 unaruka tu utaona huo moto
 
Mim lisaa 1 nakimbia km 13 siwez Kua sawa na mtu alieluka kamba kwa dkk 20 Ata kidogo
Kumbuka kukimbia kunategemeana na speed ya mtu, mtu anaweza akakimbia kwa kutrot ile ya chini kabisa na akaenda kwa lisaa limoja.
Ila cha msingi ni alitaka kumaanisha kwamba kuruka kamba ni more effective kuliko kukimbia japokuwa yeye aliexegarate kidogo
 
Anaemaliza km 1 kwa dkk 7.. Huyo ni mgeni labda kwnye mambo ya kukimbia!. Binafs Lissa limoja nakimbia km 13.. Au 11 kwa speed yangu na kuna watu wanaenda zaid ya apo..

Kamba nimeluka sana so ukiniambia anaeluka kamba kwa dkk 20 ni sawa na mtu aliekimbia Lisaa limoja bado nitaendelea kukubishia
Spidi ya kawaida tu kilomita moja unakimbia kwa dakika saba hivi unafika mbona lisaa limoja utaenda kama kilomita nane hivi...

Ila kama hujawah kukimbia lisaa limoja sio mchezo anza slow hata dakika 20 fresh
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom