NAOMBENI MSAAADA WA KISHERIA WAKUUU

Glycel

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
415
191
Mie ni mtuhumiwa nimekatwa nikalala police (celo) kesho nikatoka kwa dhamana nikahojiwa nikamtaja MTU anae niletea mzigo huo ambao nimekamatwa nao wakaniambia niende niwapeleke anapofanyia kazi hyo jamaaa nikawapeleka mpka dukani kwake jmaaaana tukarudi kituon tupo na police wakaniambie ili niwe huru nihakikishe namkamata hyo jamaaa nampeleka police kituon hapo ndio ntakuwa huru JE SHERIA IKOJE MIE NARUHUSIWA KUMKAMTA MUHARIFU AMBAE MIE NIMESHA WAONESHA POLICE AU NI KAZI YA POLICE? NA JE KMA DHAMNA YANGU IMEKWISHA NIKITAKA KU I RENEW NAKWENTA NA MTU ALIE NIWELEA DHAMNA??? TENA??? NAHITAJI USHIRIKIANO WENU WAJUZI MUNIJIZE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulivyoenda dukani hatukumkuta yye alikuwepo mdgo wake walinikamata watu wa mbegu mzigo ulikamtwa upo kituo cha POLICE MSAAADA WAKO MKUUI

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo mkoa gani mkuu,
Nenda kwenye law firm onana na mwanasheria akusaidie wewe ukiwa unaendelea na mambo yako ya kutafuta pesa..
Police kama wamekwambia uwe unaendea kureport,fanya uchunguzi wa huyo jamaa anapatikana wapi?analala wapi?
Ikiwezekana nenda na police usiku nyumbani kwa huyo jamaa mkamkamte.
Una ushahidi wowote kwamba huyo jamaa ndio aliyekuuzia mzigo?
 
Ndio shahidi ninae anamtambua kuwa yye ndio huwa ananiuzia mzigo na aliniletea mpka dukan Kwangu alijua na pikipiki mida ya saaa sita mchana mkuuu waweza nicheki 0682050189

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo mkoa gani mkuu,
Nenda kwenye law firm onana na mwanasheria akusaidie wewe ukiwa unaendelea na mambo yako ya kutafuta pesa..
Police kama wamekwambia uwe unaendea kureport,fanya uchunguzi wa huyo jamaa anapatikana wapi?analala wapi?
Ikiwezekana nenda na police usiku nyumbani kwa huyo jamaa mkamkamte.
Una ushahidi wowote kwamba huyo jamaa ndio aliyekuuzia mzigo?
Nipo mkoa wa morogoro wilaya na mvomero Kata ya dakawa kijiji cha wami dakawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom