Kwani Sasa hivi anayo ajira?Kama hana ajira Kuna ubaya gani akiomba halaf atajishikiza huku akitafuta sehem nyingine Kama hatoridhika na mshahara.Nina rafiki yangu ana degree ya International Relations pia alipitia JKT alikua anataka kuapply hizi kazi za TPA nafasi ya security guard ambayo kiwango cha elimu yao wameweka wawe wamehitim form 4. Shida ni kwamba anatamani kuapply sema anaogopa itakula kwake interms of mshahara hasa ukizingatia hatujui hiyo TPA 1A ni kiwango gani cha mshahara. So ndugu zangu mnamshauri afanye tu application au aachane nayo aendelee kusubiri nyingine. Though tunajua anaweza KUPATA au KUKOSA, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kutoa Elimu ya Degree,Form Six kama haitakiwi ubakishe Elimu ya Form 4 na hiko cheti cha Service mkuu Itakubali maana kwa sasa hapo upo Overqualified.Mimi pia nna case kama ya huyo ndugu yako. View attachment 1069184
Hiyo hiyo Mishahara ya Askari wa TPA watu wanajenga,kusomesha na kumiliki kila ukijuacho Mkuu Huyo Askari wa TPA anaweza Mpita hata mtu wa Taasisi nyengine mwenye hiyo elimu yake kimaslah aombe tu ila kama anasubiri cheo ili aheshimike Mtaani huku maisha ya kuungaunga basi aache.Nina rafiki yangu ana degree ya International Relations pia alipitia JKT alikua anataka kuapply hizi kazi za TPA nafasi ya security guard ambayo kiwango cha elimu yao wameweka wawe wamehitim form 4. Shida ni kwamba anatamani kuapply sema anaogopa itakula kwake interms of mshahara hasa ukizingatia hatujui hiyo TPA 1A ni kiwango gani cha mshahara. So ndugu zangu mnamshauri afanye tu application au aachane nayo aendelee kusubiri nyingine. Though tunajua anaweza KUPATA au KUKOSA, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hiyo Mishahara ya Askari wa TPA watu wanajenga,kusomesha na kumiliki kila ukijuacho Mkuu Huyo Askari wa TPA anaweza Mpita hata mtu wa Taasisi nyengine mwenye hiyo elimu yake kimaslah aombe tu ila kama anasubiri cheo ili aheshimike Mtaani huku maisha ya kuungaunga basi aache.
Yeah Nawafahamu hawa jamaa kiasi maana nilishawahi zugazuga GETI NO.3 pale.Uzuri mwingine, TPA especially kule bondeni overtime kama zote,
Mtu anaweza kulipa ada kwa overtime tu,
Bado allowances zingine hapo..
silent_ocean
Yeah Nawafahamu hawa jamaa kiasi maana nilishawahi zugazuga GETI NO.3 pale.
Afanye kuapply maisha ni popote ndugu, lkn pia kumbuka hapo linaweza kuwa ndio daraja la kumfikisha ng'amboNina rafiki yangu ana degree ya International Relations pia alipitia JKT alikua anataka kuapply hizi kazi za TPA nafasi ya security guard ambayo kiwango cha elimu yao wameweka wawe wamehitim form 4. Shida ni kwamba anatamani kuapply sema anaogopa itakula kwake interms of mshahara hasa ukizingatia hatujui hiyo TPA 1A ni kiwango gani cha mshahara. So ndugu zangu mnamshauri afanye tu application au aachane nayo aendelee kusubiri nyingine. Though tunajua anaweza KUPATA au KUKOSA, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Asimilia kubwa ya security TPA Wana degree, na wachache Sana Wana Diploma na form tupu ni wachache mno japo wanaomba kupitia vyeti vya form4Nina rafiki yangu ana degree ya International Relations pia alipitia JKT alikua anataka kuapply hizi kazi za TPA nafasi ya security guard ambayo kiwango cha elimu yao wameweka wawe wamehitim form 4. Shida ni kwamba anatamani kuapply sema anaogopa itakula kwake interms of mshahara hasa ukizingatia hatujui hiyo TPA 1A ni kiwango gani cha mshahara. So ndugu zangu mnamshauri afanye tu application au aachane nayo aendelee kusubiri nyingine. Though tunajua anaweza KUPATA au KUKOSA, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mimi huyu nipokee mshahara wote huo?, ntashukuru Mungu sana.Asimilia kubwa ya security TPA Wana degree, na wachache Sana Wana Diploma na form tupu ni wachache mno japo wanaomba kupitia vyeti vya form4
Mshahara wa mlinzi wa TPA hata ukifanya kazi za degree taasisi nyingine humfikii security analipwa 860k basic ukichanganya na overtime mwisho wa mwezi anaearn 1.5m bado analipwa 150k ya nyumba kila mwezi na posho zingine nyingi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana ulikua unahaingaika kuwalaumu utumishi? WaliokukataUzuri mwingine, TPA especially kule bondeni overtime kama zote,
Mtu anaweza kulipa ada kwa overtime tu,
Bado allowances zingine hapo..
silent_ocean
Ndo mana ulikua unahaingaika kuwalaumu utumishi? Waliokukata