mimi mkuu maskini wa kutupwa kwa hivyo sitakutana na kipya. nishashinda na njaa siku nzima na kula machungwa manne usiku ya kupewa. nilikuwa naskia sikio moja tu
Amna kaka mm mnizoee tu. napenda jokes sana. lakin jamaa inatakiwa awe serious na jf mana humu watu wa kumsaidia wapo. So majib yangu mm yachukulieni kama midabwada tu.. ndo mana comment serious huwa sizitanii hata kidogo. lakin nimeriplai kuita watu muje.