Naombeni mchango wa mawazo

Wewe najua utaelewa sasa hivi.......uniadisie ukiwa tayari........
Halafu mwambie huyu jamaa........issue za rafiki yake zinamuhusu nini kama si umbea.........afuate yake aachane na mambo ya watu.........
Siku hizi marafiki wanasingiziwa sana, mi mwenyewe rafiki angu boifrendi ake anamsumbua naomba ushauri nifanyeje ooh sorry afanyeje!!!!
 
sijui mm ndo sijaelewa? ebu tusubir ma geneous waje apa wafafanue
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

ahaaaaaaaaaaaaa mbavu zangu
 
aachane nae tu huyo co mwaminifu atakutenda ukiwa ndani ya ndoa mungu amesha kuonyesha mapema hakuna haja japo mapenzi yanauma jikaze kuwa na maamuzi magumu some time kunasaidia
 
kajifunze namna ya kujieleza au kutoa taarifa fulani kwa watu fulani
 
Last edited by a moderator:
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

Yaani niko ndani ya gari nimecheka hadi abiria woote wamenishangaa!
 
Aiseee ukiona wengi hawajaelewa ujue haujaeleweka hebu iweke vizuri story yako,yaan shem nyingi kiasi kwamba sijaelewa kabisa shemu ypi alimsamehe nani na shem yupi alimkataa rafiki yako mpaka kwa mama yake
 
ungejifanya wewe ndo jamaa tungekuelewa... edit story nzima maana ngumu kuielewa
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

Da, afadhali nimecheka, nina muda mrefu.
^^
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

Kwa kweli nimecheka sana............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…