naombeni mawazo yenu

Binti1

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
668
Reaction score
1,766
habarini wanajamvi!Naombeni mawazo yenu he ni zawadi gani simple unaweza toa kwenye harusi??Kwa maharusi na wazazi wa bwana harusi??budget ya zawadi laki 5 hivi.Natanguliza shukrani!
 
ngoja waliooa watakuja kukusaidia wengine sisi hata hisia zenyewe za kuupa moyo ganzi bado
 
mmmh mwekundu na wewe hili swali mbona ni kwa wote?Au ukienda kwenye harusi hutoi zawadi??
 
Uwezo wa kimaisha wa walengwa ukoje?...maana unaweza kumnunulia simu..ukaonekana kituko
 
uwezo was kawaida my dear Majigo
 
mmmh mwekundu na wewe hili swali mbona ni kwa wote?Au ukienda kwenye harusi hutoi zawadi??
ina maana maharusi ndio wanaotaka kumpa baba zawadi ama ni wazazi wa bwana harusi wanataka kumpa maharusi zawadi??
 
hapana waalikwa ndo tunataka kutoa zawadi
 
solja njeree asante kwa wazo lako watu kama wewe lazima muwepo kuchangamsha genge
 
habarini wanajamvi!Naombeni mawazo yenu he ni zawadi gani simple unaweza toa kwenye harusi??Kwa maharusi na wazazi wa bwana harusi??budget ya zawadi laki 5 hivi.Natanguliza shukrani!


Kama ungelikuwa unajua upungufu wa vitu walivyonavyo, nadhani ungelikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuamua aina ya zawadi...
 
Binti2013 hujambo cutegirl, Jambo zuri ulilofikiria na utakumbukwa kwa zawadi yako all the time!!
ok; kama Bi&Bw wanauwezo wanunulie set ya Bed spread au home applainces set,(mixer,Tea sets.coffee maker)
Ok; kama hali "muhtaji" waweke cash kwenye bahasha uwakabidhi itakuwa la maana.
if wanna make Surprise ! wapeleke carpets 3x4m woow...
Good luck Cutee
 

mbona umemsifia sasa binti2013 nimeona wivu ujue........
 
Last edited by a moderator:
mbona umemsifia sasa binti2013 nimeona wivu ujue........
Honestly kwa umri wangu huyu binti2013 the way she looks like kajukuu kangu Supergal ! nakakumbuka daima Machoni...!
Wow lakini your honor hujapotea Moyoni kwani Pepo ya dunia nani haitaki....?
Wote mubarikiwe pamoja.
 
Vizuri kama wananyumba yao uwapelekee set of curtains size kubwa watajua jinsi ya kuyatengeneza wenyewe, bedsheets na caperts nzuri sana za manyoya.
 
 
 
Honestly kwa umri wangu huyu binti2013 the way she looks like kajukuu kangu Supergal ! nakakumbuka daima Machoni...!
Wow lakini your honor hujapotea Moyoni kwani Pepo ya dunia nani haitaki....?
Wote mubarikiwe pamoja.

HAHAAA umenichesha hapo kwenye pepo ya dunia!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…