nisichojua ni hilo neno mchepuo hapo juu lakini kama ukweli ni science au arts ndiyo mkanganyiko; jua tu science is an art of specifications na kama utapata uhai wa kufunua zaidi elimu ya hiyo unayotarajia basi utagundua kwamba art is a science of certain knowlege na hapo utagundua ni kama fraternal twins wanaotofautiana ingawa ni mapacha plz have PhD soon utayaona.....