KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,715
- 12,074
kakaaaa! yani we ndo mimi.
kiukweli mi nikiambiwa ivyo hua sioneshi usoni lakini hua nakosa pozi kabisa.
haswa pale unapokua unamtaka mtu siriaz.
-kama humtaki 4life ni rahisi, koz unamweleza tu ukweli kua ye na jamaake wataendelea
na mahusiano yao na we utayaheshim. (ope relation wanaita)
- kama upo 4 life inabidi uoneshe na umfanye aamini kweli unampenda.hili jibu mara nyingi
hua i defence mechanism na test kubwa yakupima how siriaz mwanaume is.
-kwa ujumla jibu hili halina dawa nyingine zaidi ya msisitizo wa nia yako na uwezo
wa kudhibiti hoja pingamizi za upande wa pili.
kwa hyo inakubidi ukomae ili kama alikua anzuga aamini kweli unamtaka kwa dhati.
Nwasubiri wadada waseme saundi kali kwaoni ipi!
Yaani wakati mwingine nakutana na mtoto wa ukweli, najisemea moyoni 'akinikubali natangaza ndoa',,lakini ndo ivo anakujibu ninampenzi tayari,,it hurts vibaya mno.
sasa mbaya ni ile ukute mtoto hazugi.
bora wenngine hua ni nataka sitaki, ukimkomalia unashangaa jibu linakua tofauti
na lile la mwanzo.
Me ilinikuta hyo nikakomaa nayo ila mwisho wa siku niliambulia kadi ya sendoff.
Wanaume:Ivi ukimtokea demu afu akakujibu ninamtu tayari ni maujanja gani ambayo mnatumia mpaka anachojoa?
(Hapa ni serious kabisa yuko in relationship)
Wakuu mi nikiambiagwa hivyo huwa domo linajaaga zege.
Kitu kingine,, mfana ameshakua tayari ni demu wako, siku ukija kumfumania afu akakujibu kuwa nilishakwambiaga nina mtu mtu mwanzo wa mapenzi yetu,,utamkoromea?
Mwanamke: Ni mistari gani mikali ambayo dume akikwambia au ulishawahi ambiwa ambayo ulikufanya umchojoeee viwalo?
Si kashakwambia ana mtu sasa mbona bado unataka kung'ang'aniza
Mwanamke: N
ila uhakika nilo nao juu yako ni kua wote tunataka mno hii kitu....
Jaribu hio mistari kaka jambazi maybe itafanya kazi...
duh kitu gani hyo, wengne under 18 hatujui