Naombeni maoni yenu wadau:

Lugano Anod

New Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
1
Reaction score
0
" Kutokana na kuwepo Kwa malalamiko mbalimbali Kwa wasanii Wa muziki na filamu nchini juu ya kuibiwa Kwa kazi zao.je wanauelewa juu ya sheria ya hakimiliki?"
 
Wengine wana uelewa wengine ndio hivyo hawana uelewa wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…