Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
kwani unavyosikia mwanaume ndo kichwa unadhania nini?huo ndo ukichwa wenyewe
pesa yetu sisi niyakununua vipodozi tu ili tuendelee kung'aa na kupendeza.he he he habari yake mama.......
Kwa baadhi ya sisi wadada yaani ni noma kumlipia mwanaume,kama vp bora nikupe hiyo hela mapema ilimradi tu saa ya kulipia itoke kwako
pesa yetu sisi niyakununua vipodozi tu ili tuendelee kung'aa na kupendeza.
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
pesa yetu sisi niyakununua vipodozi tu ili tuendelee kung'aa na kupendeza.
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
kwani unavyosikia mwanaume ndo kichwa unadhania nini?huo ndo ukichwa wenyewe
kweli BE kama mtu ni rijali na hujawi honga lazima una matatizo!!That is the way it is - Kuchunwa raha bana!