Naombeni Mabango ya kunifariji

Hivi bado kuna watu mnatendwa??

Ila pole sana
 
Aiseee huyo goli kipa mbona anaangalia msambwanda wa mkuu wa asiependa mashoga.[emoji1787][emoji1787]


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huyo jamaa inatakiwa ashtakiwe kwa kutumia vibaya kiungo chake macho!
 
Usijali. Huzuni ni kama maji ya mvua. Huja wakati wa masika, na wakati wa kiangazi hutoweka. Dont worry, soon or later you will be just fine.. Again. Just take a little break, then pick yourself again, slowly you will start to walk but later you will be able to run again...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…