Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
yeah...kuna rumours kwamba hata Russia,mozambique and even Zambia ila sina hakika na kiwango cha madhara na pia CHANZO chake maana hilo ndio issue kubwa
Mmmh! Hata sijui ila uzembe ni uzembe tu hata kama hayo mabomu yangelipuka nchi zilizoendelea.
WanaJF habari za jioni,
Ni mategemeo yangu nyote mpo salama, kuna swali napenda kuwaulizeni ili nipate kujua hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo imewahi kulipuka kwa maghala yake ya silaha kwenye kambi za kijeshi na kuleta madhara?