Habarini za Asubuhi wana JF.Samahani kama nitakua nimekosea.Ninaomba kama kuna mwenye mawasiliano na Mkuu wa Chuo cha Madaktari/Manesi Cha DCT MVUMI DODOMA Anisaidie.Jina lake la utani ni JB ila nitafurahi kama nitapata jina lake kamili na namba za cm au mawasiliano yoyote,Nina shida ya msingi mno jamani.Ahsanteni