Naombeni kujua

Erickson0708

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
207
Reaction score
34
Iv inawezekana kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafas bila kuihusisha TCU. Na kama inawezekana nn madhara yake.
 
Iv inawezekana kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafas bila kuihusisha TCU. Na kama inawezekana nn madhara yake.

Kama Hukuomba Mkopo Haina Madhara Ila Kama Uliomba Mkopo Usithubutu Ndugu Yangu,,,utalia Kilio Cha Mbwa Mwizi
 
Duhhh madhara yake n yap

Tcu Ndio Wanaopeleka Majina Board Ya Mikopo Ili Wapewe Mkopo Kulingana Na Course Walizozichagua Pamoja Na Sifa Nyingne...So Kama Uliomba Mkopo Na Utaenda Chuo Bla Kuptia Tcu Ndugu Usahau Kupata Mkopo...Usifanye Hvo,tuliza Akili, acha KuPanic Subria Pazia La Transfer Ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…