Naombeni kazi

Naombeni kazi

Ilole

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Home wananiita useless kisa sina kazi, sina pesa, sina mbele wala nyuma, katika maisha yangu sijawai kupata nafasi yoyote ile ya kazi, nimesomea Clearing and Forwarding C&F, zaidi ya hiyo sina ujuzi wowote ule ila najifunza haraka, naombeni kazi yoyote kwa mwezi wa kwanza nipo radhi nifanye bure.
Kwa watu walio serious kunisaidia
 
pole bwana, ww sio useless.. unafaida yako katika jamii ila tu bado haijaonekana.. usikate tamaa pambana kwa nguvu zako zote na akili zako zote.. ipo siku nuru yako itang'aa. Mungu akubariki.
 
pole mkuu...endelea kutafuta, lakin ni lazima ufanye kazi uliosemea, if not niibox na mie mia 2 mia 2 sikosi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom