Naombeni kazi

Holota

Senior Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
117
Reaction score
93
Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au finance and planning internship. Nipo Dodoma, niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii. Asanteni sana kwa msaada wenu.
 
Mkuu vipi simu za mikopo huku zinatoka? Tufungue chaka huko

Mkuu nichek i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…