Chet cha diploma hauna nacho? Maana hizo kazi bila Chet ni changamoto kidogo.Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering ,
Nimezuiwa cheti kutokana na kushindwa kulipa ada , hivo naombeni wadau wa Magari na kada nyingine zinazowiana na Mechanical engineering , napatikana Dar es Salaam
Nina uzoefu katika ufundi magari wa mwaka mmoja , pia Nina uzoefu katika ufumaji(motor winding)wa mota na kufanya repair .
Naomben msaada wenu wa Jf nijikwamue niweze kulipa pia ada ninayodaiwa .
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.Chet cha diploma hauna nacho? Maana hizo kazi bila Chet ni changamoto kidogo.
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering ,
Nimezuiwa cheti kutokana na kushindwa kulipa ada , hivo naombeni wadau wa Magari na kada nyingine zinazowiana na Mechanical engineering , napatikana Dar es Salaam
Nina uzoefu katika ufundi magari wa mwaka mmoja , pia Nina uzoefu katika ufumaji(motor winding)wa mota na kufanya repair .
Naomben msaada wenu wa Jf nijikwamue niweze kulipa pia ada ninayodaiwa .
Chuo cha ufundi stadi-KIDT-VTC MOSHI, tunahitaji Mwalimu wa Refregerations & Airconditions.Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering ,