imani12
Member
- Apr 10, 2015
- 31
- 4
Mimi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza elimu ya sekondari mwaka 2012. Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi;
Sekretari au Shopkeeper kwani nimesomea masomo ya Book-keeping na Commerce.
Pia nimesomea Computer na nimesomea software zifuatazo;
1. Microsoft word
2. Microsoft excel
3. Microsoft publisher
4. Microsoft PowerPoint
5. Networking na
6. Internet explorer.
Naomba mwenye kazi yoyote kati ya hizi au tofauti anijulishe kwenye namba zangu 0757191544 au 0655191544 na 0756525889. Ahsanteni sana.