eh jaman na me nashangaa watu wengine cjui wana roho gani..
eh unampa pongezi kwa kutupa mtoto?hata kama awe na matatizo kiasi gani suluhisho c kutupa mtoto alikuana uhakika gani kama mtoto huyo ataokotwa na mtu ..je angeliwa na wanyama? ni bora angeweka wazi shida zake wasamaria wamsaidie...
Hivi inawezekanaje mtu uzae mtoto umlee mpaka miezi minne halafu umtupe kweli? hata ile huruma tu kwamba mtoto huyu amenizoea, nitamkumbuka, cjui nani atamuokota, kweli mtu unakuwa hauna? nimeamini kweli tumeumbwa tofauti...mtoto huyu mzuri unayemuona ametupwa maeneo ya bamaga mwenge, kwa nini tuzae ikiwa kulea ni shida? mbona njia za uzazi jamani zimejaa...omg..!!!View attachment 100707View attachment 100707View attachment 100708View attachment 100708