Lazima tuwe na scale of preference.. hata kama ni huku mapenzini!
mwanaume bora lazima ajihakikishie usalama wa mali yake kwa kujilinganisha na njemba iliyopita..
umemwachia nini-mapungufu yake ni yapi?, je afanye nini kuleta advancement zaidi na zaidi katika kukupa burudani!?
by the way, badala ya kumwambia X wako ni nani, mwambie kwanini mliachana.. hii itampa deam light za do's and dont's!