Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta (VETA).
Ninaandika kutafuta nafasi ya kazi yoyote ambayo itanipa fursa ya kutumia maarifa yangu na ujuzi wangu katika MKOA WOWOTE. ( SIYO LAZIMA IJIKITE KATIKA UWANJA WA UGAVI) .
Nina ujuzi mzuri katika:
Usimamizi wa manunuzi na ugavi
Kutathmini na kuchagua suppliers bora
Kuandaa na kutekeleza mikataba
Kutumia programu za kompyuta katika kazi za kila siku kama vile Excel, Word, na programu nyingine za usimamizi wa data