GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,116
- 2,248
Habari ya wakati huu wadau wa jukwaa hili. Natumaini mnaendelea kujikinga dhidi ya Covid19. Ombi langu ni moja tu.
Naombeni mnisaidie app nzuri ya kurecord screen ya simu (Android). App hiyo iwe ni free na inaweza kuweka alama kwa ile sehemu ninayogusa. Mfano, kuzungushia duara au kuweka mshale. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app