Naomben ushauri .

Naomben ushauri .

Linus richy

Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Ni vigumu kuamini lakn ndo ukweli .miaka miwili iliyopita nilikua mtu mwenye bahat ya kupendwa sana na akina dada japo skuwa na mvuto (handsome) wala skuwa na pesa .Lakini sasa mambo yamekuwa tofaut ndg zang kila demu nnaye mtongoza ananichomolea .hata akikubali bas hatutadum ktk mahusihano hayo. Ni siku mbili tatu ,tunaachana .Napata shida sana nikilinganisha na kipind kile .nilikuaga cjui stress za kukataliwa na unaempenda.Ni mwaka mmoja na miez kadhaa cjaonja radha ya mahaba ..

Tatizo hili lilianza baada kutembea na demu mmoja hiv ambae alinitaka mwenyewe .na mwisho aliniomba nguo yang (t-shirt) nilimpa maana nilimpenda .cha ajabu alkataa mpya akaitaka ile niliokuwa tayar nimeivaa ..toka kipndi hicho mambo yamekuwa magumu ..
 
ingekua t-shirt tu wachezaji wa ulaya wangekua wamerogana kishenzi
 
Kwani kupendwa na wanawake wewe unadhani ni bahati eeh? usijitie mkosi mwenyewe huyo alochukua T shirt yako aende kukuroga unanini? umesema sio Handsome,wala huna pesa sasa anakuroga kwa lipi?
 
Wapi nimesema nimelogwa ?
 
Wapi nimesema nimelogwa ?

soma vizuri,au umeandikiwa huu uzi?

Tatizo hili lilianza baada kutembea na demu mmoja hiv ambae alinitaka mwenyewe .na mwisho aliniomba nguo yang (t-shirt) nilimpa maana nilimpenda .cha ajabu alkataa mpya akaitaka ile niliokuwa tayar nimeivaa ..toka kipndi hicho mambo yamekuwa magumu ..
 
Me nakushauri kama hupungukiwi kitu Usipende wanawake alo ni chenga tna shda ebana nasema hvyo kwa 7bu yamenikuta yakunikuta kama unanielewa pnda pesa ukiwa na pesa unakua na mtu yeyote unaemjua na unaemtaman huo ndo ukweli
 
Badili mtazamo..
~~jipende kwanza mwenyewe mpaka kila mtu ajue unajipenda...(jitendee mema,pendeza,jiheshimu,jali utu wa watu wengine,kuwa rafiki wa nafsi yako,tembea katika fikra chanya,yakatae mawazo mabaya n.k)
~~Bada ya hapo jitahidi kumiliki uchumi(yaani uwe na kipato cha kukidhi mahitaji ya msingi...chakula,mavazi,malazi,usafiri,mawasiliano n.k)
Mwisho rafiki yako mkubwa awe MUNGU hakika hutajuta kuishi duniani.....
 
soma vizuri,au umeandikiwa huu uzi?

Tatizo hili lilianza baada kutembea na demu mmoja hiv ambae alinitaka mwenyewe .na mwisho aliniomba nguo yang (t-shirt) nilimpa maana nilimpenda .cha ajabu alkataa mpya akaitaka ile niliokuwa tayar nimeivaa ..toka kipndi hicho mambo yamekuwa magumu ..

Umehisi ivo kama mtu yoyote anaeza kuhis hivo .lakn cjakonfirm kuwa nimelogwa
 
uchawi nao upo me sikatai kwani kuna wazee shidah yani kumloga mtu kwake simple
 
Acha kuamini hiyo....hujapata mungu aliekuandikia. Na siku nyingine usitoe mtumba kwa mwanamke, wenzio wanatoa mihela 🙂
 
Badili mtazamo..
~~jipende kwanza mwenyewe mpaka kila mtu ajue unajipenda...(jitendee mema,pendeza,jiheshimu,jali utu wa watu wengine,kuwa rafiki wa nafsi yako,tembea katika fikra chanya,yakatae mawazo mabaya n.k)
~~Bada ya hapo jitahidi kumiliki uchumi(yaani uwe na kipato cha kukidhi mahitaji ya msingi...chakula,mavazi,malazi,usafiri,mawasiliano n.k)
Mwisho rafiki yako mkubwa awe MUNGU hakika hutajuta kuishi duniani.....

Nimekuelewa mnooo
 
hao wanawake unaokutana nao ni wakuokota ndo maana haudumu nao tafta mwanamke ambaye yuko seriouc kwenye mapenzi
 
Fikra zako tuu but ukiwa na mawazo ya kukataliwa daily yatakukuta..?
 
Back
Top Bottom