Naomben msaada kwa hili

Naomben msaada kwa hili

Joined
Aug 28, 2014
Posts
25
Reaction score
1
Kuna mtu aliapply mwaka jana akapata chuo lakn kwa kuw ni inservice hakupata ruhusa. Mwaka huu ameenda kuchukua barua akaiambatanisha na maombi ya kufanya udahili upya lakn mpaka saiv akichek profile ameandkiwa kuw ni mwanafunz wa koz fulan chuo fulan kama mwaka jana. Afanyaje ukzngatia na za helpdesk azpatkan?
 
Back
Top Bottom