Well, ni haki yako kutopenda kitu fulani maishani iwe timu, chakula, nguo n.k
Ila sasa kuna ile law yake bwana newton nadhani ni ya tatu, tegemea opposite reaction. Yaani hapo ulipo na uzuri wako kama unao lakini kuna mtu hakupendi balaa, Mfano ile misemo mtu anasema nikimkuta fulani peponi mimi natoka.