Napendekeza Chopeko maana nahic nina busara tele. Try it utanipa majibu tu
teh teh teh... wazazi ndio wanajua jina zuri la kumpa mtoto...
kwangu watoto wangu mkono wote majina ni unique....
Huyo mtoto atakuwa bingwa wa kudokoa minofu....
Hahahaaa Hamna mkuu yule mwandishi aliamua kunichafua tuu
Girl: Miranda, Michelle, Amanda, Sasha, Solana, Gwendolina, Daisy, Laura, Magdalena, Verdiana
Boy: Davion, Lafayyete, Santana, Anthony, Jacob, Benjamin, Abram, Delmont, John, Michael, Vince, Mario
Nayakubali hayo, vip majina kama Nkaruwa, Nkafinya, MajaliwaKuna mtoto wa Massawe hapa anaitwa Kisumbo, ana busara hadi mvi zimemwota angali mdogo tu, try this!
Dada yake mwite Anaelinlanganasia upate busara na myote kwa pamoja
Girl: Miranda, Michelle, Amanda, Sasha, Solana, Gwendolina, Daisy, Laura, Magdalena, Verdiana
Boy: Davion, Lafayyete, Santana, Anthony, Jacob, Benjamin, Abram, Delmont, John, Michael, Vince, Mario[/QUOTE
Punguza UTUMWA hakuna majina mazuri ya KIBANTU mazuri unayojua?
Ulimbukeni mwingne sio.
Daudi ni jina zuriJamani wanajf natumaini mko poa niko hapa kwaajili ya kupata majina mbalimbali ya watoto wa jinsia zote ambayo ukimpa mwanao yanamfanya kuwa mtu wa mafanikio mean while anakuwa wise coz mi ni wale wanao amini kuna uhusiano kati ya jina na tabia..but i know kuna watu wengine mtaanza kunishambulia msinishambulie bali mnisaidie hayo majina kama huna mchango wwt nibora usiandike kitu coz siwalazimish bali ninawaomba.