H Haludzedzele JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,477 Reaction score 534 Aug 31, 2015 #1 Samahani wadau wa jamvini mwenye wimbo ule wa ccm uliimbwa mwishoni siku ya uzinduzi wa kampeni pale jangwani. Umeimbwa na TOT tune yake inaimba 'chaama cha mapinduzi chaama mara 2 then kazi znazofanywa na chama pigia pigia ccm' pliz msaada
Samahani wadau wa jamvini mwenye wimbo ule wa ccm uliimbwa mwishoni siku ya uzinduzi wa kampeni pale jangwani. Umeimbwa na TOT tune yake inaimba 'chaama cha mapinduzi chaama mara 2 then kazi znazofanywa na chama pigia pigia ccm' pliz msaada
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,426 Mar 26, 2016 #2 Mkuu umeomba msaada tangu mwaka jana mpaka leo watu hawajakujibu, pole Sana.