binafsi nimechapika sana na hii mikopo 2012 nilichukua mkopo bank, kama ml 20 hivi, biashara ikaenda vizuri sana, 2013 nikasafiri kwenda dubai, nikafanya manunuzi vizuri, wakati narudi nikakabidhi mzigo kama kawaida, nikaingia na hand lagage kwenye ndege, kuna umbali kufika tu mlangoni wakasema ndani kumejaa I mean kwenye Ndege tusiingie na mizigo tuwakabidhi mizigo wakatupa tena kirisiti kingineUtakua uzi mujarabu sana huu.ngoja nisubiri hoja za wajumbe .nina Mkopo mmoja nimechukua wa five years umenisaidia kufanya mambo kadhaa namshukuru Mungu kwa hili.mwaka wa kwanza naamin nitaufuta! Bado naangalia maendeleo naamin nitatoboa!